TAWAUK

Monday, 24 May 2010

Monday, 4 January 2010

KITABU CHA MAOMBOLEZO KWA KIFO CHA WAZIRI MKUU MSTAAFU HAYATI MHE. RASHIDI MFAUME KAWAWA

VIONGOZI WA VYAMA MBALIMBALI VYA WATANZANIA, UK

WATANZANIA WOTE WAISHIO UK KWA UJUMLA.


KAMA AMBAVYO MTAKUWA MMESHAPATA TAARIFA, WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE. RASHIDI MFAUME KAWAWA ALIFARIKI ASUBUHI YA SIKU YA ALHAMISI ILIYOPITA TAREHE 31/12/09 KWENYE HOSPITALI YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM.


MHESHIMIWA RAIS JAKAYA KIKWETE MARA BAADA YA HAPO, ALITANGAZA SIKU SABA ZA MAOMBOLEZO KITAIFA AMBAPO BENDERA ZINAPEPEA NUSU MLINGOTI.


NAAMINI MNA TAARIFA PIA KWAMBA HAYATI MZEE RASHIDI KAWAWA (SIMBA WA VITA) ALIZIKWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 02/01/10 NYUMBANI KWAKE - MADALE - NJE KIDOGO YA JIJI LA DAR ES SALAAM.


MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI.


NIA YA TAARIFA HII YA ZIADA HASA NI KUWAPENI TAARIFA KWAMBA UBALOZI WENU HAPA LONDON UMEFUNGUA KITABU CHA MAOMBOLEZO AMBAPO WOTE MNAKARIBISHWA KUJA KUKIWEKA SAINI ZENU KUANZIA SIKU YA JUMANNE TAREHE 5 HADI ALHAMISI TAREHE 7 JANUARI, 2010 KUANZIA SAA 4.00 ASUBUHI HADI SAA 10.00 JIONI.


TAFADHALINI - KARIBUNI.

C. P. KIONDO. k.n.y. BALOZI

Thursday, 31 December 2009


RIP MZEE WETU RASHIDI MFAUME KAWAWA

Thursday, 19 March 2009

Arts And Crafts Fair

CLICK FLYER TO VIEW IN FULL FOR INFORMATION!



Sunday, 8 March 2009

International Women's Day/Aljazeera

Hi Guys

Just thought I will share this with you, basically myself and the chairperson for our Tanzania Women Association (TAWA) Ms. M Kilumanga, were recently invited to the studios of Al-Jazeera International, the English Channel version based here in London, on their People & Power Programme to share our views on the International Women’s Day, which to be celebrated officially on this Sunday the 8th March. It’s a very small clip involving women from different professions commenting on women’s rights issues. It takes about seconds but still it’s a good progress for us all I think and we should celebrate the fact that it is actually happening now where by a woman originally from Africa and especially Bongo Tanzania for that matter, can be invited into one of the major Worldwide Television Stations to air our views, indeed we are getting somewhere..........!!! YES WE CAN
Okay here are the details;
The programme first goes to air at 0130 GMT Saturday the 7th March (I know you are wondering why the time, but as a global channel somewhere in the world someone will be watching hopefully!)
It then runs on Saturday 7th March: 01.30GMT, 12.30 GMT and 19.30 GMT, Sunday 8th March: 03.30 GMT, 10.30 GMT and 23.30 GMT, Monday 9th March: 07.30 GMT.
The times above are for UK viewers so international please change according to your local times, and
For those who cannot see the programme when it’s aired especially those in Tanzania you can watch it on their website www.aljazeera.net, then select English, then go to programmes choose People & Power. Look for the topic called Righting women’s rights (it's about 11 minutes)
The video is also on YouTube. com, if you search in Aljazeera English people & power. In YouTube it’s also called; righting women’s rights-March 7-part 2.
Kind regards
Mariam Mungula.

Wednesday, 11 February 2009

Britain-Tanzania Society Reception at Westminster Central Hall

BTS reception in honour of the outgoing British High Commissioner to Tanzania H.E. Mr. Philip Parham and Mrs Kasia Parham, and the incoming British High Commission to Tanzania H.E. Ms. Diane Corner and Mr Peter Stocker.

Zerah and Zarina Jafferji and Mh. Balozi Parham




Tawa women and Mh. Balozi Majaar and Mh. Balozi Corner



Mariam mungula, Dr. H. Shayo, Dr. A. Paurine and Mrs. Shayo



Mariam mungula and Abu Faraji



Wanawake Wa TAWA at BTS reception



Mrs.K. Parham, Mh. Balozi Majaar, Mh. Balozi Purham, Mh. Balozi Corner, and Mr. P. Stocker.



Mh. Balozi Majaar, Mh. Balozi Parham, Mh. Balozi Corner, and Mr P. Stocker



Bw. Suleman Toroka, Bibi Conrada Millinga, and Mh. Balozi Majaar.



mariam K, Patricia M, Dr. Shayo, Mariam M.


Mariam Kilumanga and Pippa Brown



Sabina Goromba, Patricia and Anna Macha



Patricia-mzena Brown. TAWA



Wednesday, 24 December 2008

Women of the Diaspora


wanawake wakiwa katika mkutano wa Diaspora London April,2008: Kutoka kushoto: Mariam kilumanga, Pamela Chikoti, Sauda Kilumanga, Nellie-Temu Williams na Caroline Chipeta